Hongera Gavana


kechi kenyatta / expired giant

Hongera Gavana

By kechi kenyatta / expired giant

Fri 18 Aug, 2017 21:42:31 EAT
1088 Views | 0 Comments | 71 Likes

#siasa  


Hongera Gavana

Nakumbuka the first day ulituaddress
Dreams za county in you tuliziona
Ikawa nane nane tunaingojea
Yeah tunaingojea kuona mbivu na mbichi
Na mbivu akawa wewe,


We see our future in you
Ndo maana we've put the power in you
Maendeleo ulituahidi
Ukasema no more embezzlement of funds
Aty corruption itakua the thing of the past
Na ni kweli Sasa wewe ndiwe mkombozi wetu
Na just like the prophecies za old testament about the messaih zimekua fulfilled in you


Tunajua manifesto yako ndio ngao
Na vijana na akina mama utawaeka mbele
And that all rights and laws will be maintained
Na ni dhahiri haki na usawa itawa equal kwa wote

Ningekua na time ningesema yote
But sitasema coz with you we see the light
Wahenga walisema chema cha jiuza na kibaya cha jitembeza
Na ni wazi wewe umekubalika ndo maana with you tumekupa the power.

Gavana wetu una uwezo,nguvu na mamlaka
Na ndo maana in you we trust
And we pray that in together we prosper
Hongera bwana governor

By kechi kenyatta / expired giant
Does this poem Deserve a thumbs up?
Yes

Download


Prev : Sons Of The Sun Next : A Promise To Love.



Sharing is Caring


Comments

Fields marked with * are required